E09 NCHA KALI | BAADA YA KUTENDA WEMA | RAMADHAN KASSIM QAHTWAAN | PODCAST
Update: 2023-01-08
Description
Ni kipindi kilicholenga kumfikirisha mfuatiliaji juu ya vyakuzingatia kabla na baada ya kutenda wema SH RAMADHAN QAHTAN @
00:01-01:15 Clip ya utangulizi
01:18-04:21 Ufunguzi
04:21-06:58 Ufafanuzi wa anuani ya kipindi
06:58-14:53 Nini uzingatie ukifanya wema kama ibada
15:00-24:22 Kuonyesha wema katika mitandao ya kijamii limekaaje
24:25-27:25 Kufanya wema kwa kutaraji malipo
27:30-35:30 Je anaetendewa wema anatakiwa achukulie vipi jambo hili
35:30-44:41 Malezi na baada ya kutendewa mema
50:00-53:40 Kwa nini wengi tunamtazamo tukifanya wema tunataraji malipo
54:00-57:42 Nasaha kwa umma
57:50-01:00:03 Mwisho
Comments
In Channel